Waislamu Shia Oman
Kundi la kigaidi la Daesh (ISIL au ISIS) limesema ndilo lililohusika na shambulio baya la kigaidi kwenye Msikiti wa Shia nchini Oman siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3479141 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/17
Kwa mnasaba maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Mtume Muhammad , SAW, Imam Hussein AS, vikao kadhaa vya kusoma Qur'ani vimeandaliwa katika misikiti mbali mbali kote Kuwait.
Habari ID: 3388677 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/18